Naomba mnisaidie tiba ya ugonjwa huu

Naomba mnisaidie tiba ya ugonjwa huu

kindoled

Member
Joined
Apr 2, 2024
Posts
24
Reaction score
10
Madaktari wa humu poleni na majukum ya kila siku naomba mnisaidie tiba ya ugonjwa huu.

Screenshot_20240404-180755.png
 
Mbona tayari ume google hapo...
Au ujapata msaada vizuru..
Endelea fatilia hapo.hapo google utapata dalili na jina la ugonjwa..

Kwa kupindi hiki madokita tupo bize kidogo mkuu🙏🙏🙏🙏
 
Kama ni mba nunua mafuta ya nyonyo safi haya mafuta yamenisaidia sana kwenye tatizo la ngozi na nywele.
 
Madaktari wa humu poleni na majukum ya kila siku naomba mnisaidie tiba ya ugonjwa huu.

View attachment 2953848
Ngoja wataalam wa DERMATOLOGY wajee..

Ikiwa case yako Ni ya kawaida izi TRIPLE ACTION CREAM zitakusaidia Kama Ni utango tango wakawaida wa nje..

Mfano hii combination BETAMETHASONE + CLOTRIMAZOLE+ GENTAMICIN CREAM...Ie. SK DERM CREAM, FUNBACT A CREAM ,GENTALINE C CREAM
 
Mbona tayari ume google hapo...
Au ujapata msaada vizuru..
Endelea fatilia hapo.hapo google utapata dalili na jina la ugonjwa..

Kwa kupindi hiki madokita tupo bize kidogo mkuu🙏🙏🙏🙏
Kiongozi nisaide tafadhali siunajua hauwez kuweka sura yako hum istoshe hata majina tuu hum hatuwek ya uhalisia
 
Back
Top Bottom