Naomba mnisaidie wazo la kibiashara niko Arusha Mjini

Naomba mnisaidie wazo la kibiashara niko Arusha Mjini

PayGod

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2008
Posts
1,259
Reaction score
60
Habari wadau wa Jamiiforums

Naomba mnisaidie wazo la kibiashara niko Arusha Mjini, kaka yangu amenipa vifuatavyo ameniambia nitafuate wazo la biashara na nianzishe biashara yangu.

  • Amenipa ofisi ya chumba kimoja iko gorofa ya pili hapa Arusha mjini yenye furnitures
  • Laptop moja, Desktop na printer
  • Cash 3million
Wadau naomba msaidie nifanye biashara gani, naitaji msaada wenu wadau

Wako , wana JF.
 
Ongeza photocopier na stationeries,
ufungue Stationery & Secretarial Services Office.
 
wewe una professional gani? nadhani tuanzie hapo kwanza
 
Tafuta ofisi ambayo haiko ghorofani na iwe pana kidogo wasiliana na makampunk ya kubashiri michezo uwe wakala wao mafanikio yake hutoyaamini utaitwa Freemason fastaaa
 
mhhh ushafeli tayari....
sio kweli, siamini kama kweli hana wazo!

nahisi hadi kupewa hivyo vitu na kaka ake wameshakaa wakachagua cha kufanya, hapa anakuja kujihakiki kwa mawazo ya wengi ili kubaini mafanikio ya hicho anachowaza .
 
Habari wadau wa Jamiiforums

Naomba mnisaidie wazo la kibiashara niko Arusha Mjini, kaka yangu amenipa vifuatavyo ameniambia nitafuate wazo la biashara na nianzishe biashara yangu.

  • Amenipa ofisi ya chumba kimoja iko gorofa ya pili hapa Arusha mjini yenye furnitures
  • Laptop moja, Desktop na printer
  • Cash 3million
Wadau naomba msaidie nifanye biashara gani, naitaji msaada wenu wadau

Wako , wana JF.
Aisee fanya hivi;
Kafungue stationery pale maeneo ya makao mapya kilipo chuo cha St Augustine (Arusha- Campus)

Stationeries zilizopo ni ndogo na hazimudu kazi kubwa maeneo potential km yale.

Tafuta photocopier moja heavy duty moja ya kawaida ukiongeza na hivyo vifaa ulivyonavyo unahama kwa Bro miezi 12 tu ya academic year!
 
Back
Top Bottom