Naomba mnisaidie wazo la kibiashara niko Arusha Mjini

Naomba mnisaidie wazo la kibiashara niko Arusha Mjini

Life is not fair. Ukiwa na mtaji, mawazo ya biashara yanapeperuka. Mtaji ukikata, mawazo hayooo.
 
Heri yako mkuu una idea za kima pinduzi unawaza mambo makubwa, sasa mtu anamshauri afungue stationary atoe copy na kuprint sijui Biashara hizo za kienyeji sijui mtu atatokaga Lin tu ?
Hiyo ya kienyeji wapo watu wanatoboa kwa kiwango cha flyover,
Wakati wapo wanaofanya hizo za kimapinduzi wanapiga miayo kila kukicha.

Ni suala la mazingira na kujizatiti tu katika kile ukifanyacho.
 
Wasiliana na madalali, wakutafutie mteja ukipangishe hicho chumba, halafu wewe kaa chini kwanza ujipange unaweza kufanya nini. Mwaka unakutosha, kama wazo lako litahitaji location nyingine basi hiyo kodi ya hapo ukatafutie nafasi sehemu nyingine.
 
Mtoa mada kupewa office hapo na izo computer hili limekuweka kwenye comfort zone wewe na wachangiaji wengi kulenga idea zinazolenga muktadha kama huwo wa kiofisi na computer.

Ningelikuwa mimi ningechukua

800,000/= ningefungua library ya kukodisha CD mtaani ukimuweka mtu kwasiku hukosi 10,000/=.

1400,000/= ningefungua biashara ya uwakala/tigopesa wanapenda kuita nikimuweka mtu kwasiku sikosi minmum 10,000/=.

Nabaki na 800,000/= nakodisha office ya ghorofani nafungua biashara ya wakala then nakaa mwenyewe ambapo kwasiku about 12000/= mpaka 15,000/= napata kwasababu nipo mwenyewe.

Mtaji ninaobaki nao
1) PC
2)Kutokuwa na stress ya pesa ya kula na matumizi

mtaji huwo na kujifunza Dropp Shipping nikienda Kazini daily kumbuka hadi nina imasta na kunipa faida na huku biashara zangu ndogo zote zinanipa return minimum 35,000/= per day lakini napenda niifanye iwe 23,000/= kuondoa kabisa utata hii itanipa kiasi cha 800,000/= kwa mwezi hapo naweka target ya biashara ya kufungua inayofuata.

Itafika wakati kipato changu kinatokana na
1)Biashara tatu au nne za mwanzo
2) Biashara kubwa moja (Mgahawa/ Car wash)
3) Dropp Shipping

NB: iyo plan yangu endapo ningekuwa mtoa mada na kutokana kiasi cha pesa, hii ni malengo ya mwaka 2019 ndio kutimiza hivyo sijajua Dropp Shipping itakuwa imenifanikishia vipi ila before kuwa na Online bussiness na prefer mtu kuwa na physical bussines ili kuondoa njanjaa za hapa na pale na kilakitu kujitegemea.

Hii inalenga kutoka biashara ndogo kuelekea biashara kubwakubwa.
 
Mtaji unatakiwa uwe mkubwa kidogo,lkn hii pia inategemea na unataka kuwa wakala wa kampun gani,
Mfano:mm nilitaka niwe wakala wa Gal Sport Betting kwa hyo hata taratibu zao nafikili ztakuwa tofaut na kampun zngine za betting km Meridian,Pari Match etc
Hawa wanafanyaje biashara yao?na mtaji kiasi gani unatakiwa?...ukijibu ni tag plz
Hzo ni baadhi ya pages ya mkataba wao,,mtaji ukianzia mil 8 hv unaweza kuwa sawa
Ukitaka maelezo vzr niambie nikutumie kwenye email yako mkataba wao complete.
IMG20181114113541.jpeg
IMG20181114113554.jpeg
IMG20181114113602.jpeg
IMG_20181113_154836.jpeg
 
Dropp Shipping ikoje hyo mkuu??
Mtoa mada kupewa office hapo na izo computer hili limekuweka kwenye confort zone wewe na wachangiaji wengi kulenga idea zinazolenga muktadha kama huwo wa kiofisi na computer.

Ningelikuwa mimi ningechukua

800,000/= ningefungua library ya kukodisha CD mtaani ukimuweka mtu kwasiku hukosi 10,000/=.

1400,000/= ningefungua biashara ya uwakala/tigopesa wanapenda kuita nikimuweka mtu kwasiku sikosi minmum 10,000/=.

Nabaki na 800,000/= nakodisha office ya ghorofani nafungua biashara ya wakala then nakaa mwenyewe ambapo kwasiku about 12000/= mpaka 15,000/= napata kwasababu nipo mwenyewe.

Mtaji ninaobaki nao
1) PC
2)Kutokuwa na stress ya pesa ya kula na matumizi

mtaji huwo na kujifunza Dropp Shipping nikienda Kazini daily kumbuka hadi nina imasta na kunipa faida na huku biashara zangu ndogo zote zinanipa return minimum 35,000/= per day lakini napenda niifanye iwe 23,000/= kuondoa kabisa utata hii itanipa kiasi cha 800,000/= kwa mwezi hapo naweka target ya biashara ya kufungua inayofuata.

Itafika wakati kipato changu kinatokana na
1)Biashara tatu au nne za mwanzo
2) Biashara kubwa moja (Mgahawa/ Car wash)
3) Dropp Shipping

NB: iyo plan yangu endapo ningekuwa mtoa mada na kutokana kiasi cha pesa, hii ni malengo ya mwaka 2019 ndio kutimiza hivyo sijajua Dropp Shipping itakuwa imenifanikishia vipi ila before kuwa na Online bussiness na prefer mtu kuwa na physical bussines ili kuondoa njanjaa za hapa na pale na kilakitu kujitegemea.

Hii inalenga kutoka biashara ndogo kuelekea biashara kubwakubwa.
 
Habari wadau wa Jamiiforums

Naomba mnisaidie wazo la kibiashara niko Arusha Mjini, kaka yangu amenipa vifuatavyo ameniambia nitafuate wazo la biashara na nianzishe biashara yangu.

  • Amenipa ofisi ya chumba kimoja iko gorofa ya pili hapa Arusha mjini yenye furnitures
  • Laptop moja, Desktop na printer
  • Cash 3million
Wadau naomba msaidie nifanye biashara gani, naitaji msaada wenu wadau

Wako , wana JF.
stationary japo inategemea sana na location ya frem yako ilipo, kama upo karibu na chuo italipa zaidi
 
Back
Top Bottom