Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1][emoji1]sikushindi wewehahaaa wewe nishakuambiaga n mchokozi sema unabisha
Hiyo ya kienyeji wapo watu wanatoboa kwa kiwango cha flyover,Heri yako mkuu una idea za kima pinduzi unawaza mambo makubwa, sasa mtu anamshauri afungue stationary atoe copy na kuprint sijui Biashara hizo za kienyeji sijui mtu atatokaga Lin tu ?
Nimepelea kiasi flan cha pesa,,nilitaka niwe wakala wa kampun moja hv inaitwa Gal Sporting Betting,,mkataba wao upo vzr
Hzo ni baadhi ya pages ya mkataba wao,,mtaji ukianzia mil 8 hv unaweza kuwa sawaHawa wanafanyaje biashara yao?na mtaji kiasi gani unatakiwa?...ukijibu ni tag plz
Mtoa mada kupewa office hapo na izo computer hili limekuweka kwenye confort zone wewe na wachangiaji wengi kulenga idea zinazolenga muktadha kama huwo wa kiofisi na computer.
Ningelikuwa mimi ningechukua
800,000/= ningefungua library ya kukodisha CD mtaani ukimuweka mtu kwasiku hukosi 10,000/=.
1400,000/= ningefungua biashara ya uwakala/tigopesa wanapenda kuita nikimuweka mtu kwasiku sikosi minmum 10,000/=.
Nabaki na 800,000/= nakodisha office ya ghorofani nafungua biashara ya wakala then nakaa mwenyewe ambapo kwasiku about 12000/= mpaka 15,000/= napata kwasababu nipo mwenyewe.
Mtaji ninaobaki nao
1) PC
2)Kutokuwa na stress ya pesa ya kula na matumizi
mtaji huwo na kujifunza Dropp Shipping nikienda Kazini daily kumbuka hadi nina imasta na kunipa faida na huku biashara zangu ndogo zote zinanipa return minimum 35,000/= per day lakini napenda niifanye iwe 23,000/= kuondoa kabisa utata hii itanipa kiasi cha 800,000/= kwa mwezi hapo naweka target ya biashara ya kufungua inayofuata.
Itafika wakati kipato changu kinatokana na
1)Biashara tatu au nne za mwanzo
2) Biashara kubwa moja (Mgahawa/ Car wash)
3) Dropp Shipping
NB: iyo plan yangu endapo ningekuwa mtoa mada na kutokana kiasi cha pesa, hii ni malengo ya mwaka 2019 ndio kutimiza hivyo sijajua Dropp Shipping itakuwa imenifanikishia vipi ila before kuwa na Online bussiness na prefer mtu kuwa na physical bussines ili kuondoa njanjaa za hapa na pale na kilakitu kujitegemea.
Hii inalenga kutoka biashara ndogo kuelekea biashara kubwakubwa.
Pitia nyuzi jukwaa la biashara utaiyona.Dropp Shipping ikoje hyo mkuu??
Shukran mkuu.Pitia nyuzi jukwaa la biashara utaiyona.
stationary japo inategemea sana na location ya frem yako ilipo, kama upo karibu na chuo italipa zaidiHabari wadau wa Jamiiforums
Naomba mnisaidie wazo la kibiashara niko Arusha Mjini, kaka yangu amenipa vifuatavyo ameniambia nitafuate wazo la biashara na nianzishe biashara yangu.
Wadau naomba msaidie nifanye biashara gani, naitaji msaada wenu wadau
- Amenipa ofisi ya chumba kimoja iko gorofa ya pili hapa Arusha mjini yenye furnitures
- Laptop moja, Desktop na printer
- Cash 3million
Wako , wana JF.