Ongeza photocopier na stationeries,Habari wadau wa Jamiiforums
Naomba mnisaidie wazo la kibiashara niko Arusha Mjini, kaka yangu amenipa vifuatavyo ameniambia nitafuate wazo la biashara na nianzishe biashara yangu.
Wadau naomba msaidie nifanye biashara gani, naitaji msaada wenu wadau
- Amenipa ofisi ya chumba kimoja iko gorofa ya pili hapa Arusha mjini yenye furnitures
- Laptop moja, Desktop na printer
- Cash 3million
Wako , wana JF.
sio kweli, siamini kama kweli hana wazo!mhhh ushafeli tayari....
Hii kitu inalipa sana.Tafuta ofisi ambayo haiko ghorofani na iwe pana kidogo wasiliana na makampunk ya kubashiri michezo uwe wakala wao mafanikio yake hutoyaamini utaitwa Freemason fastaaa
sio kweli, siamini kama kweli hana wazo!
nahisi hadi kupewa hivyo vitu na kaka ake wameshakaa wakachagua cha kufanya, hapa anakuja kujihakiki kwa mawazo ya wengi ili kubaini mafanikio ya hicho anachowaza .
Umeshaijaribu?Hii kitu inalipa sana.
Nimepelea kiasi flan cha pesa,,nilitaka niwe wakala wa kampun moja hv inaitwa Gal Sporting Betting,,mkataba wao upo vzrUmeshaijaribu?
Ntakuongezea bas uifanye[emoji4]Nimepelea kiasi flan cha pesa,,nilitaka niwe wakala wa kampun moja hv inaitwa Gal Sporting Betting,,mkataba wao upo vzr
Itapendeza aisee[emoji39],,,lini nkutafute sasaNtakuongezea bas uifanye[emoji4]
Mkuu hii imenivutia.....Tafuta ofisi ambayo haiko ghorofani na iwe pana kidogo wasiliana na makampunk ya kubashiri michezo uwe wakala wao mafanikio yake hutoyaamini utaitwa Freemason fastaaa
Ukishaweka kila kitu sawa nichekiItapendeza aisee[emoji39],,,lini nkutafute sasa
Haina shida!!ntakutafuta mkuuUkishaweka kila kitu sawa nicheki
Aisee fanya hivi;Habari wadau wa Jamiiforums
Naomba mnisaidie wazo la kibiashara niko Arusha Mjini, kaka yangu amenipa vifuatavyo ameniambia nitafuate wazo la biashara na nianzishe biashara yangu.
Wadau naomba msaidie nifanye biashara gani, naitaji msaada wenu wadau
- Amenipa ofisi ya chumba kimoja iko gorofa ya pili hapa Arusha mjini yenye furnitures
- Laptop moja, Desktop na printer
- Cash 3million
Wako , wana JF.
hahaaa wewe nishakuambiaga n mchokozi sema unabishaNtakuongezea bas uifanye[emoji4]