T Terimu Member Joined Jun 1, 2011 Posts 36 Reaction score 37 Nov 24, 2011 #1 Ni kawaida kwa mwanamke kuwa na mzunguko wa hedhi unaobadilika?? kuna wakati siku 26 na miezi mingine 28! na kama ni hivyo je siku zake za kupata mimba ni zipi?
Ni kawaida kwa mwanamke kuwa na mzunguko wa hedhi unaobadilika?? kuna wakati siku 26 na miezi mingine 28! na kama ni hivyo je siku zake za kupata mimba ni zipi?
nyabhingi JF-Expert Member Joined Oct 12, 2010 Posts 15,602 Reaction score 20,181 Nov 24, 2011 #2 badilisha heading yako ndo maana cameron anatuambia tuwe mashoga!wajuzi watakupa jibu.
T Terimu Member Joined Jun 1, 2011 Posts 36 Reaction score 37 Nov 24, 2011 Thread starter #3 Sasa kuna mahusiano gani kati ya heading yangu na wewe kuambiwa uwe shoga na cameroon?