Naomba mnisaidie!

Naomba mnisaidie!

Terimu

Member
Joined
Jun 1, 2011
Posts
36
Reaction score
37
Ni kawaida kwa mwanamke kuwa na mzunguko wa hedhi unaobadilika?? kuna wakati siku 26 na miezi mingine 28! na kama ni hivyo je siku zake za kupata mimba ni zipi?
 
badilisha heading yako ndo maana cameron anatuambia tuwe mashoga!wajuzi watakupa jibu.
 
Sasa kuna mahusiano gani kati ya heading yangu na wewe kuambiwa uwe shoga na cameroon?
 
Back
Top Bottom