Tangu Kombe la Dunia limeanza hawa jamaa wamekuwa wanalazimisha kuniletea updates za matokeo ya michezo hiyo kitu ambacho sijakiomba kutoka kwao na kila SMS ikiletwa nakatwa hela.
Nimejaribu kuwapigia wanasema peleka SMS 'stop now' kwenda namba 15033, lakini ukipeleka haiendi.
Naweza kuwashitaki wapi? Naomba ushauri.