Naomba mnishauri jinsi ya kuishitaki Airtel

Naomba mnishauri jinsi ya kuishitaki Airtel

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,494
Reaction score
96,074
Tangu Kombe la Dunia limeanza hawa jamaa wamekuwa wanalazimisha kuniletea updates za matokeo ya michezo hiyo kitu ambacho sijakiomba kutoka kwao na kila SMS ikiletwa nakatwa hela.

Nimejaribu kuwapigia wanasema peleka SMS 'stop now' kwenda namba 15033, lakini ukipeleka haiendi.

Naweza kuwashitaki wapi? Naomba ushauri.
 
Mi walijaribu nikatuma stop now wakawacha...sasa kabda simu yako ina shida
 
mmmh kwan kuna mtandao mmoja 2 hapa tz....we nawe,, kama vp kawashtaki kwa mwenyekt wa ktongoj
 
Andika STOPNOW kwenda namba hizo watasitisha,pole
 
Back
Top Bottom