leonardo da vinc
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 1,108
- 732
Kiroro ndio nin tena masaid dada?!
Kiroro ndio nin tena masaid dada?!
maana yake ni POMBE
-Kunywa chai ya mchaichai ukipata changanya na mvuje(indian carry leaves)...usitie sukari badala yake weka asali.
-Acha kunywa processed juice na soda zote.
-Kunywa maji ya moto au uvungu vungu.
-acha kula samaki wakubwa.
-ukiweza kula wali wa kuchemsha na saladi tu.....samaki wawe wadogo sana ukiweza upate dakaa la kuosha...
-wacha kula mikate..kula mihogo ya kuchemsha,ndizi, viazi na vitu vyengine
-Ukiweza wacha kabisa kula samaki..unaweza kuendelea kula kuku wa kienyeji...sio ng'ombe wala mbuzi....
Situmii pombe wala sijawahi kutumia masai dada.
very good boy or gal hahahhahha sijui jinsia hahhahha
Hahahahaaaa. Mi boy masai dada!
kwa urefu wako unatakiwa kuwa na kilo 88,hivyo unapaswa kupunguza kilo 2 tu,ukipungua zaidi ya hapo unajitafutia matatizo Mkuu,bado haupo pabaya sana mkuu,jitahidi usiongezeke zaidi ya hapo utakuwa na afya bora
Ivi mkuu mtu akiwa na urefu wa futi 6 kasoro inch 2 anatakiwa kuwa na kilo ngapi?
Kama ni kweli unataka kupunguwa hebu tembelea thread yangu bonyeza hapaNiko kwenye harakati za kupunguza uzito,najua mbinu kadhaa ambazo nimeanza kuzitumia
1.kutembea angalau kwa nusu saa kila siku
2.kupunguza au kuacha kabisa chakula cha mafuta mengi(hapa nimeacha kuanzia jana kula kitmoto)
4. Naomba mniongezee nyingine.......
Uzito wangu ni kilo 90,urefu 188cm. Nataka zishuke hadi 82 kilos.
Kwa urefu wangu bado sionekan kama ni mnene ila naona ninakoelekea sio kuzuri. Msaada wenu pls....