Naomba mniwekee njia za kupunguza uzito

Naomba mniwekee njia za kupunguza uzito

Chukulia mkopo bank Nyumba yako unayoishi kisha nunua Magari mabovu fedha itakayobaki oa mke kicheche majibu utayapata ndan ya muda mfupi!
 
-Kunywa chai ya mchaichai ukipata changanya na mvuje(indian carry leaves)...usitie sukari badala yake weka asali.
-Acha kunywa processed juice na soda zote.
-Kunywa maji ya moto au uvungu vungu.
-acha kula samaki wakubwa.
-ukiweza kula wali wa kuchemsha na saladi tu.....samaki wawe wadogo sana ukiweza upate dakaa la kuosha...
-wacha kula mikate..kula mihogo ya kuchemsha,ndizi, viazi na vitu vyengine
-Ukiweza wacha kabisa kula samaki..unaweza kuendelea kula kuku wa kienyeji...sio ng'ombe wala mbuzi....
 
soda na processed juice nimeacha kunywa,nina miezi kadhaa. Mkuu kwani samaki nae ana madhara kama red meat?
 
kwa urefu wako unatakiwa kuwa na kilo 88,hivyo unapaswa kupunguza kilo 2 tu,ukipungua zaidi ya hapo unajitafutia matatizo Mkuu,bado haupo pabaya sana mkuu,jitahidi usiongezeke zaidi ya hapo utakuwa na afya bora

Ivi mkuu mtu akiwa na urefu wa futi 6 kasoro inch 2 anatakiwa kuwa na kilo ngapi?
 
1)Siku ya kwanza matunda kasoro ndizi(2)Siku ya pili unakula mboga.(3) Siku ya tatu unakula matunda na vegetables (4)ndizi 8za kupika na maziwa glass 3 (5) kikombe kimoja cha wali, nyanya nzima 6 na glass 12 za maji (6) kikombe kimoja cha wali na vegetables unazopenda (7) kikombe kimoja cha wali, juice ya matunda na vegetables
 
Ivi mkuu mtu akiwa na urefu wa futi 6 kasoro inch 2 anatakiwa kuwa na kilo ngapi?

Mkuu chukua urefu wako,let say cm 200,toa 100,unabaki na cm 100,sasa hzo ndizo exactly kilo zako unazopaswa kuwa nazo,yaani kg 100,hyo ni standand ktk kujua uzito wako sahihi mkuu,asante sana
 
Niko kwenye harakati za kupunguza uzito,najua mbinu kadhaa ambazo nimeanza kuzitumia
1.kutembea angalau kwa nusu saa kila siku
2.kupunguza au kuacha kabisa chakula cha mafuta mengi(hapa nimeacha kuanzia jana kula kitmoto)
4. Naomba mniongezee nyingine.......

Uzito wangu ni kilo 90,urefu 188cm. Nataka zishuke hadi 82 kilos.
Kwa urefu wangu bado sionekan kama ni mnene ila naona ninakoelekea sio kuzuri. Msaada wenu pls....
Kama ni kweli unataka kupunguwa hebu tembelea thread yangu bonyeza hapa
[h=1]Topic: Good news kwa wale wenye kutaka kupunguza uzito wa mwili na unene na mafuta mwilini[/h]
 
Back
Top Bottom