Hakuna cha katiba wala nini, tatizo letu ni sisi wenyewe, tunaweza kuwa na katiba nzuri ila tukawa na kiongozi mwehu, na kwa sababu ya ujinga wetu huyo mwehu ata avunje katiba hakuna atakayejali.Dah! Kenya wako mbali aisee. Katiba Katiba Katiba plus mifumo sahihi ni kitu muhimu sana kwa ustawi wa taifa lolote lile.
ahsante sana.Kesi ya msingi kupinga matokeo ya uchaguzi nchini kenya inaendea hivi sasa live kuanzia leo na itasikilizwa mfululizo hadi ijumaa wiki hii. Hii ni moja ya njia sahihi kabisa kujipa likizo na stress za siasa za bongo zisizoisha vituko. Mi niko mahakamani kijiweni kwangu karibuni.
Bahati nzuri wenzetu wanaweza kuhoji kila kitu wanachodhani hakiendi sawa,sisi ukihoji unakuwa halari ya polisi,na kupachikwa kila aina ya majina ya kibaradhuri,kwa ufupi tunatawaliwa na serikali takatifu chini ya malaika watakatifu, ukihoji wewe ni wa shetani.
Live at
KBC
CITIZEN
K24
NTV
Kesi ya msingi kupinga matokeo ya uchaguzi nchini kenya inaendea hivi sasa live kuanzia leo na itasikilizwa mfululizo hadi ijumaa wiki hii. Hii ni moja ya njia sahihi kabisa kujipa likizo na stress za siasa za bongo zisizoisha vituko. Mi niko mahakamani kijiweni kwangu karibuni.
Bahati nzuri wenzetu wanaweza kuhoji kila kitu wanachodhani hakiendi sawa,sisi ukihoji unakuwa halari ya polisi,na kupachikwa kila aina ya majina ya kibaradhuri,kwa ufupi tunatawaliwa na serikali takatifu chini ya malaika watakatifu, ukihoji wewe ni wa shetani.
Live at
KBC
CITIZEN
K24
NTV
Ha ha ha! Tena Katiba inasema kabisa; the president-elect shall take oath at the "earliest time possible" and in the worst case shall not exceed one week! Na akishaapa, case imefungwa hakuna kuhoji popote! Hapa kuna tatizo kubwa sana.Duuu kenya wapo mbali huku kwetu matokeo yauraisi hayapingwi hehehhe
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha! Tena Katiba inasema kabisa; the president-elect shall take oath at the "earliest time possible" and in the worst case shall not exceed one week! Na akishaapa, case imefungwa hakuna kuhoji popote! Hapa kuna tatizo kubwa sana.Duuu kenya wapo mbali huku kwetu matokeo yauraisi hayapingwi hehehhe
Sent using Jamii Forums mobile app
lkn huku huwa wanakubali kuwa wamepigwa za mbavu mapemaDuuu kenya wapo mbali huku kwetu matokeo yauraisi hayapingwi hehehhe
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes Kenya wako mbele kwa vitu vingi, ila Ukabila ndio unatawala nchi hio...Kila kitu kinachoendelea huko ni kwa misingi ya Kikabila...hilo tatizo litawatelea msiba siku za baadaye...Bongo tunaishi makabila mengi lakini tunaheshimiana....Tofauti kubwa kati yetu ni personal ideologies not tribalism...
You are right and in fact I understand your reasoning....Eventhough I don't live in Kenya..I am in daily contanct/ business/employ with Kenyans...I am distantly related to Kenyans so nakushika/understand you perfectly...Kenyans are an intelligent people I know this because part of my primary and Uni education was in Nairobi...My regret is,basing your judgement on someone's tribe before doing anything progressive is a shame...Judging who to do what with for the greater good of a people is just sad...I understand every country/ group has its unique set of problems i.e. Our loyalty to political parties is fanatical..( I agree ) Now, because I know the potential,ambition and drive in Kenyans can you imagine what they can achieve as a united front??I learn a lot from them everyday and I realize it is a changamoto in their society...Am not mad at Kenyans just wish they could find a way around this cancer called tribalism...Infact I want Kenya to be peaceful for my business and social dealings(a bit selfish but hey)...and I know they can because diaspora Kenyans get along fine...Kawaida ya binadamu wengi haswa Waafrika tuna mazoea ya kuishi kama manyumbu, kufuata mkumbo. Hata hiyo Tanzania naijua ndani na nje, wengi mna unyumbu wa uchama, na ukanda, ila uchama ndio shida yenu kubwa, yaani kama wewe CCM utatetea kila uovu na matope ndani ya serikali na kama wewe Chadema utapinga kila nzuri ndani ya serikali.
Kwetu shida yetu ni ukabila na ukanda kwa kiasi, watu wanatetea au kupinga kwa misingi ya ukabila, lakini demokrasia yetu ni ya hali ya juu, fahamu demokrasia inampa mtu uhuru wa mtazamo hata kama akitaka kutumia ukabila, leo hii Marekani wanajiita baba wa demokrasia na wengi wana mitazamo ya kibaguzi maana demokrasia inawapa uhuru huo.
Sio kwamba natetea ukabila, lakini nasema kwamba ndio matunda ya demokrasia, kila mmoja anapewa uhuru wa kutumia kigezo anachotaka bila kushinikizwa, kubabaishwa wala kutishwa au kupimwa mkojo.
Andika Kiswahili huko Kenya ndo walikufundisha Kiingereza kibovu namna hii? Unalipa fadhila sio? [emoji23] [emoji85] [emoji115]You are right and in fact I understand your reasoning....Eventhough I don't live in Kenya..I am in daily contanct/ business/employ with Kenyans...I am distantly related to Kenyans so nakushika/understand you perfectly...Kenyans are an intelligent people I know this because part of my primary and Uni education was in Nairobi...My regret is,basing your judgement on someone's tribe before doing anything progressive is a shame...Judging who to do what with for the greater good of a people is just sad...I understand every country/ group has its unique set of problems i.e. Our loyalty to political parties is fanatical..( I agree ) Now, because I know the potential,ambition and drive in Kenyans can you imagine what they can achieve as a united front??I learn a lot from them everyday and I realize it is a changamoto in their society...Am not mad at Kenyans just wish they could find a way around this cancer called tribalism...Infact I want Kenya to be in peace for my business and social dealings(a bit selfish but hey)...and I know they can because diaspora Kenyans get along fine...