leonaldo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 2,583
- 3,182
Kesi ya msingi kupinga matokeo ya uchaguzi nchini Kenya inaendelea hivi sasa live kuanzia leo na itasikilizwa mfululizo hadi Ijumaa wiki hii. Hii ni moja ya njia sahihi kabisa kujipa likizo na stress za siasa za bongo zisizoisha vituko. Mi niko mahakamani kijiweni kwangu karibuni.
Bahati nzuri wenzetu wanaweza kuhoji kila kitu wanachodhani hakiendi sawa, sisi ukihoji unakuwa halali ya polisi na kupachikwa kila aina ya majina ya kibaradhuli, kwa ufupi tunatawaliwa na serikali takatifu chini ya malaika watakatifu, ukihoji wewe ni wa shetani.
Live at
KBC
CITIZEN
K24
NTV