Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka bei hapa mkuu huenda kuna wengne wanatakaachana nao njoo nkuuzie boxer bm mpyabmpya ina miezi 3 kuanzia niinunue kama unaitaka ni pm
Duu! Huyo naye alikua bundi yaan unaingiza hela bila kuona chomboMimi nishafanya sana biashara huko ila mwenye kuhitaji bidhaa kma yko mbali na mm namuambia Ani link na jamaa yke ambaye yko dar tumalizie....
Nishawahi muzia mtu vanguard tena hatujuani jamaa alikuwa sumbawanga yeye alideposit hela kwenye ac ya jamaa yangu ana yard ya gari nkamtafutia dereva akampelekea hko doc alikuja zifuata mwenyewe baada ya miezi 5 jamaa nilimkubali
Mpk leo Tukio Nana tunagonga bia tu...
Kifupi biashara ni uaminifu
Ova
Chaguo langu n sanya, fekon, au kinglionUkitaka pikipiki njoo nkuzie nnayo PGO SCOOTER miguu 3,cc 150
Nlitoa denmark nmeipiga turubahi
Pikipiki nshachana nazo maana si wengine watu wa kilaji
Nko dar
Ova
Kuna demu yupo instagram anajiita adija_tv kitu kama hicho. Ni mzenji nae anauza tv bei ya kutupa kabisa. Yanii too much sauce mzae!Ha ha ha mi pia jamaa aliingia mitini baada ya kumwambia niko zenji so nakuja kuchukua mzigo nimpe na cash