Naomba mrejesho kwa aliyewahi kutumia mafuta ya bronzetone

Naomba mrejesho kwa aliyewahi kutumia mafuta ya bronzetone

Principle girl

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2014
Posts
1,311
Reaction score
1,297
Habari waungwana
Kama title inavojieleza kwa aliewahi tumia hayo mafuta naomba anipe mrejesho na je yanachubua au yanang'arisha tu?
 
Habari waungwana
Kama title inavojieleza kwa aliewahi tumia hayo mafuta naomba anipe mrejesho na je yanachubua au yanang'arisha tu?
Hebu ngoja kwanza... unataka kuwa mweupe??

pic+vipodozi.jpg

Nakushauri achana na mafuta, jitahidi unywe maji mengi...

RAY-221.jpg
 
Habari waungwana
Kama title inavojieleza kwa aliewahi tumia hayo mafuta naomba anipe mrejesho na je yanachubua au yanang'arisha tu?
 
Utafiti mzuri ni ule wa kufanya mwenyewe.Isitoshe kila mtu ana ngozi yake shosti
 
Yanachubua aisee.. Tena yanababua. Na mostly yaliyopo madukani mengi ni fekero
 
ukitaka agiza kutoka Uganda ndiyo mazuri hasa lotion unakua soft balaa, ila ya bongo utajuta utango tango, michirizi na utaungua!!
 
Jamani Bronze Tone haichubui
Ila kwa hao mliosema inawachubua muwaulize vizuri watumiaji huenda kuna vitu wanachanganya
Mi natumia haya mafuta mwaka sasa
Na wala cjaona dalili ya kuchubukaa
Zaidi yanang'arisha tu
 
Back
Top Bottom