Naomba mrejesho kwa aliyewahi kutumia mafuta ya bronzetone

Naomba mrejesho kwa aliyewahi kutumia mafuta ya bronzetone

Binafsi nimeyatumia na ninatumia hadi sasa ni mazuri sana yanang'arisha tu ila ukilogwa ukachanganya na kitu chochote unakua kama mwarabu..
ANGALIZO:
Ukiyatumia usiongezee madoido mengine
 
Jamani wapendwa msipende kuiga cz unaweza ukaiga kwa mtu kumbe alicho kitumia kinaendana na ngozi yake wewe ukija kukitumia unakawa kama umeunguzwa na tindikali xo kuwen makini na hizi mambo za kuulizana nani katumia nini na mimi nitumie hicho hicho[emoji12] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom