Principle girl
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 1,311
- 1,297
Hebu ngoja kwanza... unataka kuwa mweupe??Habari waungwana
Kama title inavojieleza kwa aliewahi tumia hayo mafuta naomba anipe mrejesho na je yanachubua au yanang'arisha tu?
Yanachubua nini mama??Sijawahi kutumia ila yanachubua
Ngozi., in short kuna watu wangu wa karibu waliyatumia yakawaharibu [ yanaunguza ] so simshauri mtu ayatumieYanachubua nini mama??
Kama hivi??Ngozi., in short kuna watu wangu wa karibu waliyatumia yakawaharibu [ yanaunguza ] so simshauri mtu ayatumie
Exactly, tena yenyewe haitoi chunusi inaunguza tu
Hao Kuna vitu waliongezea haichubui tena na sabuni yake nzuri kweliNgozi., in short kuna watu wangu wa karibu waliyatumia yakawaharibu [ yanaunguza ] so simshauri mtu ayatumie
Asante, tena ukiyapaka jiandae kua na vidole kama ndizi choma, mafuta yanatoa sugu haya mpaka utajiogopaYanachubua aisee.. Tena yanababua. Na mostly yaliyopo madukani mengi ni fekero