johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Je, mtaani kwako sukari inapatikana?
Kama inapatikana bei elekezi inazingatiwa?
Una maoni gani mengine kuhusu sukari.
Nategemea kuonana na waziri wa biashara soon so nilitaka nimpelekee hoja hii maana wengi mlilalamika hapa kwamba mmeacha kunywa chai na wengine mkadai sasa mnaamkia mbege na ulanzi.
Maendeleo hayana vyama!