Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Sukari bwerere mtaani Bei nafuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi?Huku ipo tele tena ya Kilombero Sugar kilo ni 2600.
Karibuni
Wapi uko uliko kwa bei iyoHuku ipo tele tena ya Kilombero Sugar kilo ni 2600.
Karibuni
Mbowe anajiandaa kustaafu?Miaka 60 ya uhuru hata uhakika wa walau Sukari tu katika nchi yako hakuna, sasa huo uhuru ulikuwa ni wa nini basi... mi nafikiri tulililia kujitawala wakati hatujajipanga... yaani aliyezaliwa siku ya Uhuru Dec 1961 kwa sasa anajiandaa kustaafu lakini Taifa lake ni shinda kila unapogusa.
Soma post #23 mnatuchosha kujibu nyie wavivu wa kusomaWapi uko uliko kwa bei iyo
Wewe nawe utakuwa unakula kwa shemeji nini,mie nilikuwa nataka useme umenunua dukani sio maneno ya kusikiaSoma post #23 mnatuchosha kujibu nyie wavivu wa kusoma
Huyu jamaa yako Ana mkwala eti anategemea kuonana na waziriIpo tele hapa mbeya mjini
Dr Tulia ackson anafanya mambo mazuri
Ukikaa mikoa inayokaribia na mipaka Nch jirani hakuna shida ndg ndg maana mibinjuko inaokoaaKikubwa ipo ya kutosha
Huyu jamaa yako Ana mkwala eti anategemea kuonana na waziri
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Unawakumbuka watu waliitwa VILAZA na Magufuli!!!Wewe nawe utakuwa unakula kwa shemeji nini,mie nilikuwa nataka useme umenunua dukani sio maneno ya kusikia
ni hapa dar mkuuKilo 3600/= nimekuelewa.
Ni hapa Dar au ni mkoani?