johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Tulia anapata wapi sukari? Malawi au Zambia?Ipo tele hapa mbeya mjini
Dr Tulia ackson anafanya mambo mazuri
Tulia anapata wapi sukari? Malawi au Zambia?
Naenda ss hivHuku nnakoishi haipo,nainunua shoppers ya mikocheni kg1 2600.
Kilo 3600/= nimekuelewa.nipo uswahilini hapa dogo ametumwa sukari na mama yake karudisha fedha kasema sukari robo 900/-
Kwahiyo shoppers ipo?Huku nnakoishi haipo,nainunua shoppers ya mikocheni kg1 2600.
Wapi huko bwashee!Sukari ni anasa, kilo 4,000/-
Inapatikana ila si kwa bei elekezi ,imezidi Tsh 400.Je, mtaani kwako sukari inapatikana?
Kama inapatikana bei elekezi inazingatiwa?
Una maoni gani mengine kuhusu sukari.
Nategemea kuonana na waziri wa biashara soon so nilitaka nimpelekee hoja hii maana wengi mlilalamika hapa kwamba mmeacha kunywa chai na wengine mkadai sasa mnaamkia mbege na ulanzi.
Maendeleo hayana vyama!
Nadhani unamaanisha inazidi 4000 na si 400!Inapatikana ila si kwa bei elekezi ,imezidi Tsh 400.
Hapana Mkuu , Bei elekezi ni 2800 sie tunauziwa kwa 3200 kwahiyo imezidi Tsh 400 kwenye bei elekezi.Nadhani unamaanisha inazidi 4000 na si 400!
ila we fala ukipewa cheo hutajali matatizo ya wananchi na kuyatatua zaidi ya kupiga vigele gele kuwafurahisha waliokuteuwa.Ipo tele hapa mbeya mjini
Dr Tulia ackson anafanya mambo mazuri
Ndio.Labda kama imeisha jana lakini juzi nliletewa na Mr.Kwahiyo shoppers ipo?