Hili nalo ndio sababu ya kuchukia chuo
Usifanye masihara na room hasa kwa vyuo vya Dar, akili haitulii hasa ukiwa jiji hulijui na unaishi kwa jamaa tuuu utaimba hosana bila ya tune@mankachara
Si mnasema JKT mlikuwa mnafundishwa uvumilivu,ukakamavu na uzalendo.
Uvumilivu umeisha mara hii?
Komaa hivyohivyo ndo ukubwa huo.