Naomba msaada chumba changu UDSM kimefungwa

Naomba msaada chumba changu UDSM kimefungwa

Kivule

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2012
Posts
639
Reaction score
662
Habari wakuu, mimi ni mwanafunzi wa 1st year apo UDSM, nilichelewa kuripoti chuo sababu za matatizo yaliyonikabili.....sasa nashangaa baada ya kufanya usajili nataka kulipia chumba naambiwa chumba kimeuzwa tutakutafutia pengine na nimefatilia wiki hii nzima kila siku napigwa calendar na mimi si mwenyeji wa Dar.

Chumba nilipangiwa HALL 2...ROOM NO.349, naombeni ushauri kwa wazoefu mana kila siku nataman asubuhi ifike mana sina pa kulala. Au mwenye kuniunganisha na waziri wa malazi anisaidie.
 
waden wa hall 2 kauza room kwa 400,000 ,,ndo zao kufanya ivo ,,,ulichelewa mno kuripoti mdogo wangu ,,Ni PM fasta nitakusaidia upate chumba
 
Njooo uchukue room fasta maji umeme hulipii na ni very close to udsm mitaa ya hapa mawasiliano tower ni 250,000/= kwa semester tu nicheki
 
nimeshaku pm kaka, msaada wako muhimu ndugu.
 
wenzio tumemaliza na hiyo ndio degree yenyewe!!! Degree kwa udsm sio madesa tu shauri ako utalia sana.
 
Hizo ndo changamoto tafuta mtu wa kukubeba ulipie room usome hiyo sio sababu ya kufanya uchukie chuo
 
Usifanye masihara na room hasa kwa vyuo vya Dar, akili haitulii hasa ukiwa jiji hulijui na unaishi kwa jamaa tuuu utaimba hosana bila ya tune@mankachara

Unapoingia chuoni ayo ni matatizo ya kawaida tu, wenzio yanakuja majina ya boom na hawamo bado wako poa tu, huna rafiki hata mmoja hapo chuo
 

Si mnasema JKT mlikuwa mnafundishwa uvumilivu,ukakamavu na uzalendo.

Uvumilivu umeisha mara hii?

Komaa hivyohivyo ndo ukubwa huo.
 
kamshitaki hall manager utawala kuwa kauza nafasi yako ya chumba na kampa mtu mwengine, dai haki yako mpaka mwisho usikubali,
 
Back
Top Bottom