NAKEMBETWA JF-Expert Member Joined Apr 20, 2012 Posts 3,517 Reaction score 3,135 Jul 19, 2014 #1 Nimelipia jana loan board lakin nakumbana na tatizo kila napofungua sehemu ya first applicants, inafunguka halaf sehemu ya kuingiza transaction id ili kuregister inafeli kufunguka! Wenye ujuzi naomba mnisaidie!
Nimelipia jana loan board lakin nakumbana na tatizo kila napofungua sehemu ya first applicants, inafunguka halaf sehemu ya kuingiza transaction id ili kuregister inafeli kufunguka! Wenye ujuzi naomba mnisaidie!