NAKEMBETWA
JF-Expert Member
- Apr 20, 2012
- 3,517
- 3,135
Nimelipia jana loan board lakin nakumbana na tatizo kila napofungua sehemu ya first applicants, inafunguka halaf sehemu ya kuingiza transaction id ili kuregister inafeli kufunguka! Wenye ujuzi naomba mnisaidie!