Monsgnor
JF-Expert Member
- Mar 26, 2012
- 551
- 564
Habari zenu wakuu,
Jana nilikua safari kutoka Mwanza kwenda Arusha na gari dogo, Toyota Voltz njiani gari iligoma kutembe speed ya Km 80 kwa saa hata ukanyage mafuta vipi, kwenye mteremko ndio lilikua linaenda mpaka km 100 ukianza mpando zinashuka kati ya 70 na 80 pia nilikua nikisimama sehemu bila kuzima gari nikirudi kuendelea na safari riverse gear inagoma mpaka nizime then niwashe.
Tafadhari naomba anaeweza kuniambia tatizo ni nini na kunielekeza kwa fundi mzuri Arusha.
Shukrani sana
Sent using Jamii Forums mobile app