Naomba msaada hii ni ishara ya tatizo gani?

Monsgnor

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2012
Posts
551
Reaction score
564
Habari zenu wakuu,

Jana nilikua safari kutoka Mwanza kwenda Arusha na gari dogo, Toyota Voltz njiani gari iligoma kutembe speed ya Km 80 kwa saa hata ukanyage mafuta vipi, kwenye mteremko ndio lilikua linaenda mpaka km 100 ukianza mpando zinashuka kati ya 70 na 80 pia nilikua nikisimama sehemu bila kuzima gari nikirudi kuendelea na safari riverse gear inagoma mpaka nizime then niwashe.

Tafadhari naomba anaeweza kuniambia tatizo ni nini na kunielekeza kwa fundi mzuri Arusha.

Shukrani sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hukufanya service ya gari kkabla ya safari. Ila kwa maujuzi zaidi wasiliana na Benjamin Mzinga akupe namba ya yule Engineer wa NIT
Habari zenu wakuuu....
Jana nilikua safari kutoka Mwanza kwenda Arusha na gari dogo, Toyota Voltz...njiani gari iligoma kutembe speed ya Km 80 kwa saa hata ukanyage mafuta vipi, kwenye mteremko ndio lilikua linaenda mpaka km 100 ukianza mpando zinashuka kati ya 70 na 80....pia nilikua nikisimama sehemu bila kuzima gari nikirudi kuendelea na safari riverse gear inagoma mpaka nizime then niwashe...Tafadhari naomba anaeweza kuniambia tatizo ni nini na kunielekeza kwa fundi mzuri Arusha.....shukrani sana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingia gereji kubwa yoyote Arusha wakufanyie service ya uhakika
 
Gear box oil imepungua au imechoka. Huenda imeharibu baadhi ya gia. Tafuta fundi.
 
Habari zenu wakuuu....
Jana nilikua safari kutoka Mwanza kwenda Arusha na gari dogo, Toyota Voltz...njiani gari iligoma kutembe speed ya Km 80 kwa saa hata ukanyage mafuta vipi, kwenye mteremko ndio lilikua linaenda mpaka km 100 ukianza mpando zinashuka kati ya 70 na 80....pia nilikua nikisimama sehemu bila kuzima gari nikirudi kuendelea na safari riverse gear inagoma mpaka nizime then niwashe...Tafadhari naomba anaeweza kuniambia tatizo ni nini na kunielekeza kwa fundi mzuri Arusha.....shukrani sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Gari kugoma kuchanganya hiyo ni Fuel pump naomba kaibadilishe kwani ina uchafu au inaanza kufa hawezi kusukuma petrol kwa nguvu itakiwayo
na Reverse km haiingi na gari yako ni Manual basi ni piston za clutch moja ipo ndani kwenye pedal ya kushoto (clutch) cheki km inamwaga mafuta ya breki badili km sio fungua boneti cheki pembeni ya gearbox utaiona hiyo piston imefunikwa na rubber (piston ya ne haivuki 5,000/ na ya ndani haivuki 4,000/
ukitaka kubadili mwenyewe useme tukuelekeze uwe na spana No12 na No 10 tosha
 
Shukrani kaka, gari ni automatic....na hilo la fuel pump ntalishughulikia. Tumeanza kwa kufungua sample ya gearbox na ndani tumekuta mafuta yamechanganyikana na chembe za chuma, tuna wasiwasi kuna vitu vimesagika hukondani...tunaendelea kuifanyia kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom