inzovu
Senior Member
- Oct 5, 2016
- 138
- 49
- Thread starter
- #21
Wadau kuna fundi nimempelekea gari abadilishe injini lkn fundi amesema injin ya kuweka humo ni 4s tuu zingne haiwezekani et gari inavutia nyuma mara bodi kubwa je ni kweli anavyoniambia?Nimeona kumbe inawezekana gharama yake ni sh ngapi na mafundi naweza kuwapata wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app