Wadau kuna fundi nimempelekea gari abadilishe injini lkn fundi amesema injin ya kuweka humo ni 4s tuu zingne haiwezekani et gari inavutia nyuma mara bodi kubwa je ni kweli anavyoniambia?Nimeona kumbe inawezekana gharama yake ni sh ngapi na mafundi naweza kuwapata wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
sasa ulitaka itumie ulanzi au!? weka injini ya bajaj bas shwain...Gari yangu ni grande mark 2 gx 90 injin yake ni six cylinder cc 1987 sasa inatumia mafuta sana
Yan daaah jamaa anazingua, hapa tupo kwa ajili ya kuelimishana jamaa
Sio lazima utoe ushauri kama unaona ninachouliza ni upuuzisasa ulitaka itumie ulanzi au!? weka injini ya bajaj bas shwain...
Wadau kuna fundi nimempelekea gari abadilishe injini lkn fundi amesema injin ya kuweka humo ni 4s tuu zingne haiwezekani et gari inavutia nyuma mara bodi kubwa je ni kweli anavyoniambia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo mkoa gani mkuu?
NIMEIPENDA HII MODIFICATION