blakali alfred
New Member
- Sep 1, 2024
- 3
- 4
Habari za muda huu wadau wa JamiiForums,
Naomba mwenye uelewa zaidi kwa kozi ya civil engineering na geomatics anisaidie kufanya comparison Kwa nyanja mbalimbali.
Mfano marketability, ushindani , ugumu wa masomo na kazi ,Fursa za ajira ( kujiajiri na kuajiriwa pia) na Mishahara ya kazi.
Maana mimi nimechaguliwa kusoma geomatics pale ardhi ingawa malengo yalikuwa ni civil engineering na vyuo vyote nilivyoomba hiyo kozi sikupata na matamanio yalikuwa kusoma dar pekee nikawa nmebahatika hapo ardhi ila kusoma geomatics.
Je, kutokana na comparison hiyo nibadili kwenda civil engineering au nisome hiyo hiyo geomatics
Msaada tafadhali waungwana