nimahussein
Senior Member
- Sep 17, 2013
- 181
- 27
usipanic mbona so ion tatizo apo
Wasiliana nao tu mapema sidhani kama ni tatizo kubwa kama ufikiriavyo....
mkuu karibu kwenye jukwaa la elimu..! Mara moja moja kututembelea co mbaya
dah,sawa kaka nitajitahidianza ufatiliaji mapema kiongozi
nimekuelewa kaka,bodi nilisema na niliattach kama nimereseat na kule tcu niliadd ile ya S0832 nilipoambiwa niadd seat ..Haina shida iyo bodi wakihtaji matokeo yako system yao iko linked necta usijal hyo sio tatizo kabisa ila kuna swal pale kama ulijibu kuwa umesit mtihan w f4 mara ngap
ahsanteni kwa michango yenu,mungu awabariki sana
mkuu wafate board pale mwenge uwaeleze.