nimahussein
Senior Member
- Sep 17, 2013
- 181
- 27
habari zenu wanajamii wenzangu,jamani nilifanya mtihani mara mbili olevel(moja nilireseat) sasa wakati najaza TCU ile username niliweka exam number kile cheti nilichoreseat P0309 na baadae nikaadd seat ya kile cha mwanzo, na wakati najaza kule HESLB walitaka cheti cha mwanzo kabisa kwa hio nikaweka exam number ya ile S0832 then nikaambatanisha na kile cha P0309, sasa nina wasiwasi hawa HESLB wakiletewa jina na TCU haitaleta shida?naombeni msaada wenu nijue la kufanya.