ukifungua cas.tcu.go.tz utaona kuna link 2 ambazo ni 'Home' na 'Registration'. Kujisajili chagua 'Registration'- baada ya kufunguka chagua sifa yako k.v. Form 6, Diploma n.k. na kisha jaza maelezo yako!
SUALA LA VOCHA ZA TCU:
Vocha hizi zinapatikana katika matawi yote ya Benki ya Taifa ya Biashara maarufu kama NBC kwa malipo ya Tsh. 50,000 kama wewe ni mtanzania au $ 60 au pesa ya kitanzania yenye thamani ya $ 60 kama wewe si mtanzania!
Ikiwa hukuelewa waweza kuni- PM tukaeleweshana zaidi!
Karibu sana...