Naomba msaada jinsi ya kufanya registration TCU

CONFIRM

Member
Joined
Aug 2, 2014
Posts
24
Reaction score
1
kwa yeyote aliyefanya registration TCU kupitia website yao ...!

mbona hamna sehem ya account creation kun sehem ya log in tu! (how to create an account)

hii wanayoita voucher number inapatikana wapi?..

anyone please immediate help !!
 
ukifungua cas.tcu.go.tz utaona kuna link 2 ambazo ni 'Home' na 'Registration'. Kujisajili chagua 'Registration'- baada ya kufunguka chagua sifa yako k.v. Form 6, Diploma n.k. na kisha jaza maelezo yako!
SUALA LA VOCHA ZA TCU:
Vocha hizi zinapatikana katika matawi yote ya Benki ya Taifa ya Biashara maarufu kama NBC kwa malipo ya Tsh. 50,000 kama wewe ni mtanzania au $ 60 au pesa ya kitanzania yenye thamani ya $ 60 kama wewe si mtanzania!
Ikiwa hukuelewa waweza kuni- PM tukaeleweshana zaidi!
Karibu sana...
 
thanks !! nimekuwa nikijaribu jaribu ila "Form 6 Leavers Registration Form" ilikuwa haitokei pale kwenye kuchagu qualification (i think ni kwa sababu ya kutumia technohama ya zamani "desktop af ina xp" nimebadili kwa laptop wind 8/google chrome imekubali...

kuhusu voucher option nimeiona pia but leo saturday nahisi jamaa watakuwa wamefunga bank yao hiyo
"Benki ya Taifa ya Biashara maarufu kama NBC"..

appreciated
 
Back
Top Bottom