Naomba msaada jinsi ya kujiunga na Magereza au Uhamiaji

Sticky

Member
Joined
Aug 9, 2014
Posts
54
Reaction score
3
Samahani sana wakuu,

Ninaomba kufahamishwa taratibu za kujiunga na jeshi la magereza au uhamiaji kwa walio hitimu kidato cha nne mwaka 2013
Je nafasi zao hutolewa lini?

Na mafunzo hayo hutolewa kwa muda wa ni miaka mingapi?

NB:nijuze katika idara unayo ijua kati ya magereza na uhamiaji

#naomba msaada wako kwa hili
 
Nenda chuo cha polisi kwanza, aply ccp moshi....ukipata mengine utayajulia uko.
 


Nenda kwanza JKT kwa kujitolea,vyombo vingi watakuja kuwasaili huko
 
Magereza ni miezi isiyopungua 6-8 kwa mafunzo ya awali. Chuo kipo mbeya. Wakitangaza nafasi ntakuku pm.
 
hivi kwanini askari magereza wa kike wengi wao ni mabonge?
 
Magereza ni miezi isiyopungua 6-8 kwa mafunzo ya awali. Chuo kipo mbeya. Wakitangaza nafasi ntakuku pm.
nitakutumia hata vocha mkuu ukifanya hivyo, hzo nafas hutangazwa mwez wa ngap?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…