Naomba msaada jinsi ya kutumia scientific calculator

Naomba msaada jinsi ya kutumia scientific calculator

Joined
Jul 29, 2014
Posts
27
Reaction score
5
Anayefahamu kusolve matrix kwa njia ya scientific calculator naomba kuelekezwa.

Mf: kutafuta determinant, transponse na inverse!

Mnakaribishwa wote mliosoma Advance Mathematics
 
Hiyo n rahis sana. Calculator umenunua wewe binafsi? Ni ya kwako?
 
For those who know on how to use scientific calculator on solving matrix problems especially to find determinant and inverse i need your contribution please!
Warmly wellcome all mathematian for your concrete elaboration
 
Ok kuna kijitabu kidogo humo kwenye calculator kitakufahamisha jinc ya kusolve na kujua hizo dert, na inverse na nyengnezo kitabu muhmu kitakupa function zote
 
Shukrani!
Lakin calculator nlshainunua longt halafu vtu kama sina nlshavipoteza nilkuwa naomba mbinu nyingne kama kuna uwezekano!
 
the best way to know is to pass through calculating device i think it's a first topic of both advance and basic math find your classmate who is familiar of it!
 
Shukrani!
Lakin calculator nlshainunua longt halafu vtu kama sina nlshavipoteza nilkuwa naomba mbinu nyingne kama kuna uwezekano!

Nenda kwenye mode button, click mpaka upate neno SD, then bonyeza shift followed by button marked by no4, kisha kama ni 3*3 matrx boyeza 3 then =, alafu boyeza 3 followed by equal sign again.

Ukifikia hatua hiyo sasa waweza ku insert matrix yako kwa kuweka number kuanzia row ya kwanza hadi ya mwisho,

Nb: Kila uandikapo number weka = mpaka ile ya mwisho. Fanya hivyo ukipatia rudi hapa nikumalizie mchezo.
 
Easy sana.. Na sio matrix tu, hata vectors unaweza solve pia..(both dot and cross product) statistics, na probability pia...
 
Back
Top Bottom