peter kasanga
Member
- Jun 1, 2017
- 49
- 9
nampata vip sasaMuone mke wa dogo janja atakusaidia
Filamu ni gharama, umejipangaje?wadau naombeni msaada wenu jimsi ya kupata connection na wigizaji apa bongo kwani nina kipaji kikubwa cha kuigiza na kutunga stori nzuri mfano wa stori zangu ni ,part of life, unexpected president, faith, na familly desicion lakini sina connection ivyo naomba msaada wenu
nimejipanga kwa kila kitu au ulkua unasemea gharama ganiFilamu ni gharama, umejipangaje?