naomba msaada jinsi yakupata connection na waigizaji hapa bongo

peter kasanga

Member
Joined
Jun 1, 2017
Posts
49
Reaction score
9
wadau naombeni msaada wenu jimsi ya kupata connection na wigizaji apa bongo kwani nina kipaji kikubwa cha kuigiza na kutunga stori nzuri mfano wa stori zangu ni ,part of life, unexpected president, faith, na familly desicion lakini sina connection ivyo naomba msaada wenu
 
Filamu ni gharama, umejipangaje?
 
Muone kingwendu ngwendulile then utapanda daraja slowly.... Ukitaka kukimbia kabla hujatamaa utakufwa
 
Vry simple,, wa follow insta, watmie private mesej kama wasanii 20, natumain kat ya hao hata wawil watakujibu ndo mwanzo wa conection.
 
Back
Top Bottom