Naomba Msaada: Jinzi ya kutumia mtaji wa 50,000Tsh

Naomba Msaada: Jinzi ya kutumia mtaji wa 50,000Tsh

jazia jazia taarifa muhimu ili watoa ushauri wapate kianzio :

*una umri gani
*jinsi (wengi wamezoea kuita jinsia)
*kama una/hauna familia
*elimu yako/uzoefu wa biashara
*eneo uliko

hizi ni taarifa kuntu maana huathiri utendaji wa yatakayoelezwa
 
Back
Top Bottom