Naomba msaada juu ya huu ugonjwa wa ngozi

Duh, pole sana... Kuna jamaa mmoja nilimuona nae alikuwa hivyo hadi nywele hazioti. Nikampa dawa moja ya Kimasai, inaitwa Oltemwai au Ndemwai... Akaja kunitafuta kwa shukrani. Tafuta hiyo dawa, ukikosa nitafute nikuuzie... Usisahau kuleta mrejesho.
 
Sawa mkuu tuonane pm
 
Kuna jamaaa miaka ya nyuma alikuwa na tatizo lakufanana na hilo ,alikuwa anachanganya sonaderm ile ya tube na mafuta nazi.Anapakaa kichwani.Jaribu wakati unaendelea kuwaona mabingwa.
 
Hapa Mimi nasoma comments za mloganzila tu sina neno, pole sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…