Naomba msaada juu ya huu ugonjwa wa ngozi

Naomba msaada juu ya huu ugonjwa wa ngozi

Vilianza Kama vipele, baadae kukua na nimetumia dawa mbali mbali lakini vinakauka then kurudi, msaada tafadhali kwa anayejua suluhisho coz Ni miaka Sasa nateseka kujitibu

Natanguliza shukrani!View attachment 2889640
Ndemwai au Oltemwai(Kimasai) inaweza kuwa suluhisho. Nipe contacts zako Kama uko Dar. Nikutumie hiyo Ndemwai BURE na uipokee pale Stendi Mbezi.
I am serious sitanii.
 
Pole sana, kama kuna maduka ya dawa za wachina/wakorea maeneo hayo usisahau kuwatembelea.
 
Back
Top Bottom