Habari zenu wakuu,
Katika kusomasoma kwangu nimekutana na hicho kitu hapo juu kwakweli kimenichanganya sana kwani nimeshindwa kupata sababu zilizowafanya waizrael kuihama nchi yao na kutawanyika katika mataifa mengine kama Ujerumani na Marekani na ilikuaje wakaondoka wote na nchi yao kuingiliwa na wapalestina vilevile wapalestna nao walitokea wapi kuingia katika nchi hiyo.
Natanguliza shukran.