Naomba msaada juu ya Middle East Crisis

Naomba msaada juu ya Middle East Crisis

ydon

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2014
Posts
253
Reaction score
194
Habari zenu wakuu,

Katika kusomasoma kwangu nimekutana na hicho kitu hapo juu kwakweli kimenichanganya sana kwani nimeshindwa kupata sababu zilizowafanya waizrael kuihama nchi yao na kutawanyika katika mataifa mengine kama Ujerumani na Marekani na ilikuaje wakaondoka wote na nchi yao kuingiliwa na wapalestina vilevile wapalestna nao walitokea wapi kuingia katika nchi hiyo.

Natanguliza shukran.
 
Acha uvivu na kulishwa kama mtoto ndogo, soma kwenye net, uatapata historia yote.
 
Back
Top Bottom