Naomba msaada juu ya Mwangu

Naomba msaada juu ya Mwangu

Kwanza sijui kwa nini walimpatia hiyo ampiclox. Ila kama kuna mucus puani,njia rahisi,salama na isiyokuwa na gharama ni kuweka kinyaa pembeni na kunyonya hizo mucus kwa mdomo wako au mwenzio hadi ziishe.Huenda ikwa ni kwa sababu hiyo ndio maana anaonekana ana mafua.Jaribu kufanya hivyo haraka kisha urudi hapa utuambie,ili tuone namna nyingine ya kukushauri.

Siku hizi kuna Nasal Aspirator device za aina mbali bali zinapatikana town,ya nini kuyanyonya makamasi na mdomo wako?
Pia Mtafutie na dawa moja inaitwa saline nasal spray (hiyo katika picha ),achana na otrivine kabisa. Hakika utarudi kutoa ushuhuda wa jinsi itakavyomsaidia.
 
Attachments

  • 1405325115007.jpg
    1405325115007.jpg
    7.9 KB · Views: 137
  • 1405325309999.jpg
    1405325309999.jpg
    34.4 KB · Views: 72
  • 1405325325606.jpg
    1405325325606.jpg
    40 KB · Views: 60
Hata mm mwanang alipozaliwa alikunywa maji alipewa hiyo dawa ya Ampiclox na daktar akaniambia mikoromo itaenda inaisha yenyewe mpaka sasa ana miezi 11 mikoromo yote imeisha usijarbu kumnyonya.ukiona bado nenda kwa Dokta wa Watoto atakusaidia.
 
Siku hizi kuna Nasal Aspirator device za aina mbali bali zinapatikana town,ya nini kuyanyonya makamasi na mdomo wako?
Pia Mtafutie na dawa moja inaitwa saline nasal spray (hiyo katika picha ),achana na otrivine kabisa. Hakika utarudi kutoa ushuhuda wa jinsi itakavyomsaidia.

Thanks mkuu, ubarikiwe
 
Mkuu ubarikiwe sana, nimepata dawa tajwa hapo juu imemsaidia sana ingawa nipata taabu sana kuipata hapa moro, sijajua inatakiwa kutumika kwa muda gani?
 
Back
Top Bottom