Naomba msaada juu ya Mwangu


Siku hizi kuna Nasal Aspirator device za aina mbali bali zinapatikana town,ya nini kuyanyonya makamasi na mdomo wako?
Pia Mtafutie na dawa moja inaitwa saline nasal spray (hiyo katika picha ),achana na otrivine kabisa. Hakika utarudi kutoa ushuhuda wa jinsi itakavyomsaidia.
 

Attachments

  • 1405325115007.jpg
    7.9 KB · Views: 137
  • 1405325309999.jpg
    34.4 KB · Views: 72
  • 1405325325606.jpg
    40 KB · Views: 60
Hata mm mwanang alipozaliwa alikunywa maji alipewa hiyo dawa ya Ampiclox na daktar akaniambia mikoromo itaenda inaisha yenyewe mpaka sasa ana miezi 11 mikoromo yote imeisha usijarbu kumnyonya.ukiona bado nenda kwa Dokta wa Watoto atakusaidia.
 

Thanks mkuu, ubarikiwe
 

Mkuu ubarikiwe sana, nimepata dawa tajwa hapo juu imemsaidia sana ingawa nipata taabu sana kuipata hapa moro, sijajua inatakiwa kutumika kwa muda gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…