Naomba msaada juu ya upofu wa ghafla

Naomba msaada juu ya upofu wa ghafla

saga v

Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
7
Reaction score
0
Wana jf,

Naomba msaada kwa anaefahamu tiba juu ya upofu wa ghafla.

Umemkuta jamaa yangu kaenda hospitali ya KCMC mkoani Kilimanjaro amepimwa kila kitu lakini hana tatizo lolote popote.
 
kada... hakuna tatizo uzuri wa hoja ni nguvu yake.. na ile hoja ziwe na utamu lazima hoja mama iwe kali... jukumu lenu ni kukosoa hoja yangu, kuipinga kabisa au kuitetea... mimi nasema yote yanayoendelea nchini sasa hivi ni kwamba taifa limepoteza ule moto wake uliowaka zamani...!! hivyo si mikataba tu ila mambo mengine mengi.. ni kwamba tumepoteza ile tunu iliyotufanya tuone fahari kuwa sisi ni watanzania... sijasema imezimika kabisa.. ila kwa mwendo huu tutafika kweli?

Fatilia ujue kama alishawahi kuwa na ugonjwa wa kaswende.Lakini kitu cha lazima ni kuendelea kuonana na wataalamu wa macho..
 
Back
Top Bottom