Jamani! jamani! mjomba bado hajazaliwa tayari ana kilo 2.4!!
Jamani! jamani! mjomba bado hajazaliwa tayari ana kilo 2.4!!
Yes kaka, tumeambiwa hivyo so tunaenda tena kila baada ya siku tisa.kula sana vyakula vya wanga mama akiwa kwenye miezi mitatu ya mwisho ya ujauzito ni moja ya sababu.
Hakuna namna, mama ni arekebishe lishe tu, kilo hazipungui, ila awe anaenda kupima tena angalau kila wiki kuona kasi ya uzito kuongezeka kama ni ya kawaida au bado inazidi...
Aise, sasa ni vyakula au? maana na mimi wangu ameambiwa atembee kila siku kilomita moja ili ajifungue wiki ya 37 na siyo ya 40.2.4 mbona kidogo? mimi sister alikuwa na 2.8 week 34 kajifungua week 36 na 3.8 aliwahishwa kwa sababu za kiafya angesubiria week 40 angekuwa na kilo 5
kila la kheriYes kaka, tumeambiwa hivyo so tunaenda tena kila baada ya siku tisa.
Mkuu usimtishe, 2.4 kg kwa wiki za mwishoni ni uzito mdogo.Jamani! jamani! mjomba bado hajazaliwa tayari ana kilo 2.4!!
Yeah ni kweli kabisa.2.4 mbona kidogo? mimi sister alikuwa na 2.8 week 34 kajifungua week 36 na 3.8 aliwahishwa kwa sababu za kiafya angesubiria week 40 angekuwa na kilo 5
Ilikuaje? duuhMdogo wangu alijifungua mtoto 5.1 kwa njia ya kawaida ila alikipata cha moto
Mtoto alipita kwa shida hadi kuongezewa njiaIlikuaje? duuh