Wasichana wenye A 124😳
Kumbuka
Sure, here you go:
1. Special
2. Special
3. Special
4. Technical
5. Technical
6. Technical
7. Technical
8. Boarding
9. Boarding
10. Boarding
11. Boarding
12. Boarding
13. Boarding
14.Boarding
15.Boarding
Wanafunzi 15 wenye alama xa juu zaidi watapangiwa bweni maalumu, bweni ufundi na bweni kawaida
Kuna wengine watachukuliwa kwenda shule za halmashauri (teule) kwetu huwa wanachukua 67
Hivyo basi chukua 124-15=109
109 hawatapangiwa shule za bweni za serikali hivyo basi kati yao watapangiwa mbinga girls (shule teule) wengine hawatapangiwa Mbinga girls licha ya kupata A (inasikitisha) 😢
Watakaopangiwa mbinga girls ni 67
ambao hawatapangiwa ni wangapi? 109-67=42
42 wamepata A lakini ukweli mchungu kuwa kati yao hawatapangiwa muwaambie huko mtaani wasubiri post wasichinje kuku kwanza 😁