naomba msaada ktk hili kuhusu tcu

Alwayz on top

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2012
Posts
706
Reaction score
268
kuna mdg wang amechaguliwa na tcu ifm lkn anataka ahamie t.i.a au N.I.T afanyeje ili apate hyo transfer? naomben ushaur wenu tafadhal
 
nahisi kama kachelewa coz watu wakutransfr walishatuma maombi na kukubaliwa
 
kuna mdg wang amechaguliwa na tcu ifm lkn anataka ahamie t.i.a au N.I.T afanyeje ili apate hyo transfer? naomben ushaur wenu tafadhal
nenda kwenye chuo unachotaka kuhamia waeleze wao wanajua cha kufanya inawezekana pia kuna wakat ukiwa na cash wanakusajil unapiga bøok
 
hatua ya kwanza ya kuhama afunge mizigo yake vizuri alafu akodi fuso limpeleke hadi anakohamia!
 
afike chuo husika watamsaidia bila shaka

ila mkono mtupu.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…