Alwayz on top
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 706
- 268
kuna mdg wang amechaguliwa na tcu ifm lkn anataka ahamie t.i.a au N.I.T afanyeje ili apate hyo transfer? naomben ushaur wenu tafadhal
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nenda kwenye chuo unachotaka kuhamia waeleze wao wanajua cha kufanya inawezekana pia kuna wakat ukiwa na cash wanakusajil unapiga bøokkuna mdg wang amechaguliwa na tcu ifm lkn anataka ahamie t.i.a au N.I.T afanyeje ili apate hyo transfer? naomben ushaur wenu tafadhal