Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Habari zenu wadau
Nimekuja hapa kama kichwa Cha habari kinavyosomeka hapo juu naomba msaada wakublock haya matangazo ya mikopo yasinifikie
Mwezi iliyopita nilifiwa na tangazo la mikopo kuwa wanakopesha Hadi millioni moja nika click link kupakua App baada ya kujisajiri nakutana mkopo unaanzia kutolewa ni Tsh 30000 hapo hapo ikabidi niifute hiyo App sikuona manufaa kwangu kwa mkopo huu
Shida iliyopo sasa nakutana na matangazo ya mikopo kwa wingi zaidi na Mimi sipo interest nataka niblock lakini sioni option ya kublock ili nisifikiwe